Royal Impex Stationery is the one among the stationery which provides the Secretarial services in Korogwe
area and the catchment area.We have alot of services we provide more than Office and School Supplies.For more details concerning
our services browse in Services on Navigation bar in this web.
Royal Impex Stationery ni moja kati ya sehemu zinazotoa huduma za kiofisi katika Maeneo ya Korogwe pamoja na maeneo ya
jirani.Pia tunatoa huduma nyingine nyingi ukiachilia mbali zinazo husu Mashule na Maofisini.Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma
zetu angalia katika ukurasa wa huduma katika Tovuti hii.